TUKUMBUKE BENDI ZETU 3
Katika safari yetu ya kuzikumbuka bendi mbalimbali nchini, kuna kitu kinaonekana wazi kabisa, katika swala la muziki kwa ujumla tumerudi nyuma sana. Zamani kulikuwa na bendi binafsi, bendi za serikali , bendi za chama tawala na karibu kila mji ulikuwa na zaidi ya bendi moja. Watu walikuwa wachache sana kuliko siku hizi lakini walikuwa na…
