MATATIZO YA WANAWAKE YALIOIMBWA NA WANAUME

Mume wangu Jerry – Mlimani Park Orchestra, Mfaume – Mlimani Park Orchestra, Mfaume– Orchestra Makassy, Nimemkaribisha nyoka– Tancut Almasi Orchestra,  Mabruki– Maquis, Mke Mkubwa – Vijana Jazz Rehani-Oss Ndekule, Kalubandika– Maquis, Ndoa ya Mateso – Dar es Salaam International Orchestra hii ni orodha ndogo sana ya nyimbo nyingi za bendi tofauti lakini zina kitu kimoja…

Read More

TUKUMBUKE BENDI ZETU 2

Leo tunaendelea na safari ya kukumbuka bendi mbalimbali nchini, leo twende mkoa wa Mbeya. Tuanze na wilaya ya Mbeya, wilaya ambayo ni makao makuu ya mkoa siku hizi. Kabla ya mwaka 1927 wilaya hii ilikuwa ikijulikana kama wilaya ya Igali. Mji wa Mbeya ulianza  kupata umaarufu kutokana na kugundulika kwa dhahabu sehemu mbalimbali za kuzungukia…

Read More
Back To Top