MATATIZO YA WANAWAKE YALIOIMBWA NA WANAUME

Mume wangu Jerry – Mlimani Park Orchestra, Mfaume – Mlimani Park Orchestra, Mfaume– Orchestra Makassy, Nimemkaribisha nyoka– Tancut Almasi Orchestra,  Mabruki– Maquis, Mke Mkubwa – Vijana Jazz Rehani-Oss Ndekule, Kalubandika– Maquis, Ndoa ya Mateso – Dar es Salaam International Orchestra hii ni orodha ndogo sana ya nyimbo nyingi za bendi tofauti lakini zina kitu kimoja…

Read More

TUKUMBUKE BENDI ZETU 2

Leo tunaendelea na safari ya kukumbuka bendi mbalimbali nchini, leo twende mkoa wa Mbeya. Tuanze na wilaya ya Mbeya, wilaya ambayo ni makao makuu ya mkoa siku hizi. Kabla ya mwaka 1927 wilaya hii ilikuwa ikijulikana kama wilaya ya Igali. Mji wa Mbeya ulianza  kupata umaarufu kutokana na kugundulika kwa dhahabu sehemu mbalimbali za kuzungukia…

Read More

BUGI LISINGEPIGWA MARUFUKU HISTORIA YA MUZIKI WA TANZANIA INGEKUWA TOFAUTI ?

Muziki wa Tanzania kama ilivyo katika nchi nyingine za Afrika umepitia katika milima na mabonde mengi sana, jambo ambalo ni kawaida kwa sanaa za aina zote. Hakuna shaka kabisa kuwa wanasiasa katika nchi yetu nao wamechangia sana katika kuufikisha muziki wetu hapa ulipo.  Nina hakika kuna jambo la kujifunza kwa wanasiasa wa sasa jinsi tamko…

Read More

TUZIKUMBUKE BENDI ZETU 1

 Nataka kuanzia leo niwazungushe mikoa mbalimbali ambako kulikuwa na bendi. Bendi nyingine zilikuwa maarufu mpaka kujulikana nje ya nchi yetu na nyingine hazikuwa maarufu au hazikudumu sana, lakini kuna wasanii wengi waliotoka kwenye bendi hizo ndogo na kuja kuwa maarufu nchini na hata duniani.Nianze na Kigoma, huu si mji ambao siku hizi unatajwa wakati ukiongelea…

Read More
Back To Top