MATATIZO YA WANAWAKE YALIOIMBWA NA WANAUME
Mume wangu Jerry – Mlimani Park Orchestra, Mfaume – Mlimani Park Orchestra, Mfaume– Orchestra Makassy, Nimemkaribisha nyoka– Tancut Almasi Orchestra, Mabruki– Maquis, Mke Mkubwa – Vijana Jazz Rehani-Oss Ndekule, Kalubandika– Maquis, Ndoa ya Mateso – Dar es Salaam International Orchestra hii ni orodha ndogo sana ya nyimbo nyingi za bendi tofauti lakini zina kitu kimoja…
