Save the Date: Wikiendi Live 2026 is Bringing the Heat to Nafasi Art Space on  25th and 26th September 2026

Get your calendars ready, art lovers! The biggest weekend in Tanzania’s cultural calendar is officially returning at Nafasi Art Space . “Wikiendi Live” is back for its annual two-day celebration of arts and culture, and this year promises to be more vibrant than ever.Mark your calendars for 25–26 September 2026, for a weekend of creativity,…

Read More

USIKOSE TAMASHA LA WIKIENDI LIVE

Wapenzi wa sanaa jiandaeni. Ile wikiendi kubwa zaidi katika kalenda ya utamaduni wa Tanzania inarejea rasmi. Wikiendi Live – tamasha linalosimamiwa na Nafasi Art Space- linakuja kwa sherehe za aina yake, na mwaka huu mambo makubwa zaidi kuliko miaka iliyopita.Kila mwaka, Wikiendi Live inajikita katika mandhari inayounganisha, na 2026 si tofauti. Mwaka huu, tutajiweka “Kinyumbani…

Read More
Back To Top