Upigaji Magitaa Baridi Unapotea
Katika aina ya muziki unapotea ni muziki wa gitaa baridi unaopigwa na mtu mmoja. Gitaa baridi ni gitaa lisilotumia umeme, wengine huliita Galaton au kwa Kiingereza huitwa Acoustic guitar. Chombo hiki husemekana kiliingizwa Afrika kwa mara ya kwanza na mabaharia wa kutoka Ureno katika karne ya 15, Toka wakati huo Waafrika kutoka pande mbalimbali za…
