JE HIZI NI SIKU ZA MWISHO ZA GITAA LA RIDHIM?
Katika mfumo wa awali wa muziki wa rumba hasa kuanzia miaka ya 50, bendi zilikuwa na mfumo wa kutumia magitaa matatu, ambayo yalipewa majina ya gitaa la solo, gitaa la ridhim na gitaa la bezi. Gitaa la solo lilikuwa na sauti ya juu, huku ridhimm ikiwa na sauti nzito kidogo ya kati, na mwisho gitaa…
